Wednesday, March 28, 2018

Uvinza fm

Leo tumekua na ugeni wa  Mwanasheria  kutoka BAK-AIDS KIGOMA Bi.MWAJABU MASHAKA
Pamoja na Msaidizi wa kisheria Bw.JOSEPH L KANYABWOYA kutoka UVINZA PARALEGAL FOUNDATION(UPAFO) UVINZA.Wamezungumzia sheria ya ndoa ya 1971 kwa kuchambua kwa kina:-
        a.Aina za ndoa
       b.Taratibu za kufunga ndoa
       c.Sifa za kufunga ndoa
       d.Haki za mwanamke katika ndoa
       e.Dhana ya ndoa.
 
Tegea sikio redio yako pendwa kesho alhamisi  tar.29.3.2018 saa 10:30 jioni upate kujua mengi kupitia 96.5 mhz

Thursday, March 8, 2018

  •  
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI  UVINZA  YAMEADHIMISHWA KIWILAYA KATIKA KIJIJI CHA RUCHUGI   ENEO LA KITUO CHA AFYA UVINZA KWA KUFANYA USAFI LEO TAREHE 08.03.2018.NA MGENI RASMI ALIKUWA MKUU WA WILAYA YA UVINZA MH.MWANAMVUA MLINDOKO AMEWAKILISHWA NA KATIBU TAWALA BI. UPENDO MALANGO

Uvinza FM