Wednesday, April 4, 2018

Uvinza FM



WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO  MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM TELEFAX-2460772 UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO TAREHE: 03/04/2018.
[Utabiri huu unahusu Mkoa wa Kigoma na maeneo jirani] LEO USIKU: v Wilaya ya Kigoma mjini: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache. v Wilaya ya Kigoma vijijini: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache. v Wilaya ya Kasulu: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache. v Wilaya ya Kibondo: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache. v Wilaya ya Uvinza: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache. v Wilaya ya Buhigwe: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache. v Wilaya ya Kakonko: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache.
 
KESHO MCHANA v Wilaya ya Kigoma mjini: Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua. v Wilaya ya Kigoma vijijini: Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua. v Wilaya ya Kasulu: Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua. v Wilaya ya Kibondo: Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua. v Wilaya ya Uvinza: Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua. v Wilaya ya Buhigwe: Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua. v Wilaya ya Kakonko: Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
 
[Mikoa ya Katavi, Kagera na Geita]:  
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mkoa wa Shinyanga]:
 
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua. 
ANGALIZO VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA, TABORA, KAGERA, GEITA, MWANZA, SHINYANGA, SIMIYU NA MARA.
 
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA. MIJI KIWANGO CHA JUU KIWANGO CHA CHINI MAWIO MACHWEO Kigoma mjini 29°C 19°C 01:04 01:05 Kigoma vijijini 28°C 19°C 01:04 01:05 Kasulu 29°C 19°C 01:04 01:05 Kibondo 29°C 19°C 01:04 01:05 Uvinza 29°C 18°C 01:04 01:05 Buhigwe 28°C 18°C 01:04 01:05 Kakonko 28°C 19°C 01:04 01:05 Upepo katika Ziwa Tanganyika: Utavuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa. Hali ya Ziwa Tanganyika: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo. 
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 03/04/2018. Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
 

1 comment:

  1. hongera sana redio uvinza fm kwa kutujuza hali inavyo endeleea mkoani kwetu

    ReplyDelete

Uvinza FM