Wednesday, March 28, 2018

Uvinza fm

Leo tumekua na ugeni wa  Mwanasheria  kutoka BAK-AIDS KIGOMA Bi.MWAJABU MASHAKA
Pamoja na Msaidizi wa kisheria Bw.JOSEPH L KANYABWOYA kutoka UVINZA PARALEGAL FOUNDATION(UPAFO) UVINZA.Wamezungumzia sheria ya ndoa ya 1971 kwa kuchambua kwa kina:-
        a.Aina za ndoa
       b.Taratibu za kufunga ndoa
       c.Sifa za kufunga ndoa
       d.Haki za mwanamke katika ndoa
       e.Dhana ya ndoa.
 
Tegea sikio redio yako pendwa kesho alhamisi  tar.29.3.2018 saa 10:30 jioni upate kujua mengi kupitia 96.5 mhz

No comments:

Post a Comment

Uvinza FM