Tuesday, February 13, 2018

NAIBU WAZIRI WA HABARI SANAA NA MICHEZO JULIANA SHONZA AMEWATAKA WAANDISHI WA HABARI WAFANYE KAZI KWA KUZINGATIA USAWA NA HAKI KATIKA KUANDIKA HABARI.


Ameyasema hayo  katika Maadhimisho ya siku ya Redio Duniani Kitaifa yaliyofanyika Februari 13 2018 Mkoani  DODOMA .
Naibu SHONZA amesema,  Redio ni muhimu kwa jamii kupata Habari kiurahisi hivyo ni vyema Waandishi wa Habari watumie vizuri Taaluma yao ili kufikisha ujumbe sahihi .
Kwa upande wake katibu wa TADIO MARCO MIPAWA amesema, SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA SAYANSI NA UTAMADUNI-UNESCO Wanaendelea kutoa mafunzo katika redio za kijamii ili kuendelea kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari kufanya kazi kwa ufanisi.
Kauli mbiu ya Siku ya redio kwa mwaka 2018 ni REDIO NA MICHEZO hivyo Waandishi wa Habari wanatakiwa Kuandika Habari za Michezo bila kusahau kuwashirikisha wanawake katika michezo mbalimbali.

Wednesday, February 7, 2018

IFIKAPO SAA SAA 8:00-9:30 ALASIRI NI KIPINDI CHA AFRICAN FIRE

Kipndi hewani AFRICAN FIRE  na uvinza fm kwanzia saa 8:00-9:30 alasili

Hatua1.historia ya FRANCO  saa8:00-8:30 mchana

Hatua ya mwisho.nyimbo halisi za kiafrika saa 8:30-9:30

Utakua nami:HUSSAIN

Piga simu au utume sms 0788 941 947
Pia mitandao ya kijamii I
Kwa Facebook page:96.5 uvinza fm community radio au @uvinzafm02
Instagram uvinzafm
Twitter @uvinzafm2
WhatsApp 0788 941 947

Pia tusikilize online http//Mixlr.com/uvinza-fm
Kwa blog yet www. Uvinzafm.blogspot.com

WAANDISHI WA HABARI NA WATANGAZAJI WA RADIO ZA JAMII WAMETAKIWA KUZINGATIA MAADILI NA KANUNI ZA UANDISHI WA HABARI.

Waandishi wa
habari  watangazaji kutoka redio Jamii wametakiwa kufanya kazi kwa
Kuzingatia maadili ya uandishi wa habari.
Haya yamezungumzwa na Mkufunzi wa redio za kijamii MWL ROSE HAJI kutoka shirika la Kimataifa la elimu  Sayansi Utamaduni (UNESCO)Katika semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za kijamii kuhusu uwaandaaji wa habari na vipindi bora katika ukumbi wa wakala wa Majengo Mjini dodoma.

Mwl ROSE amesema mwandishi anaezingatia maadili ya uandishi anatakiwa kufanya kazi bila upendeleo.

Uvinza FM