Ameyasema hayo katika Maadhimisho ya siku ya Redio Duniani Kitaifa yaliyofanyika Februari 13 2018 Mkoani DODOMA .
Naibu SHONZA amesema, Redio ni muhimu kwa jamii kupata Habari kiurahisi hivyo ni vyema Waandishi wa Habari watumie vizuri Taaluma yao ili kufikisha ujumbe sahihi .
Kwa upande wake katibu wa TADIO MARCO MIPAWA amesema, SHIRIKA LA UMOJA WA KIMATAIFA SAYANSI NA UTAMADUNI-UNESCO Wanaendelea kutoa mafunzo katika redio za kijamii ili kuendelea kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari kufanya kazi kwa ufanisi.
Kauli mbiu ya Siku ya redio kwa mwaka 2018 ni REDIO NA MICHEZO hivyo Waandishi wa Habari wanatakiwa Kuandika Habari za Michezo bila kusahau kuwashirikisha wanawake katika michezo mbalimbali.
No comments:
Post a Comment